Mwalimu ni mtu ambaye huenda shuleni kufunza watoto. Mwalimu nimpendaye anaitwa mwalimu ****. Yeye hutufunza somo la Kiswahili na somo la jamii. Mwalimu wangu ana nywele ndefu na ni nyeusi ti ti ti. Mwalimu wangu ni mfupi kama nyundo na […]
SKILLS | KNOWLEDGE | COMPASSION